tag:blogger.com,1999:blog-7949131352956279305.post5148230487316725264..comments2023-06-07T09:48:33.298-04:00Comments on The Voice of the Martyrs Canada: Prisoner of faith: Eva AbdullahThe Voice of the Martyrs Canadahttp://www.blogger.com/profile/07837720256522883311noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7949131352956279305.post-3445912937030762202012-10-05T09:55:12.441-04:002012-10-05T09:55:12.441-04:00Hello Eva,
Bwana wetu yuko pamoja nawe hata hapo ...Hello Eva,

Bwana wetu yuko pamoja nawe hata hapo ulipo.

Mruhusu Kristo aendelee kuongoza hatua zako hadi uzima wa milele.

Naomba kwamba macho, masikio na myoyo ya hao wanaokutesa vimfungukie Kristo.

Warumi 8:28
Nasi tunajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hutenta kazi pamoja na wote wampendao, wale ambao wameitwa kufuatana na mapenzi yake. Mungu hufanya hivyo kwa faida yao.

Naombea kwamba ukutane na uwepo wake Kristo siku ya leo.

Namshukunru kwa upendo wako kwa Kristo.

With Love,

Jenny CarrenoAnonymousnoreply@blogger.com